LATEST ARTICLES

Habari za Simba Leo

MATOLA:- KWA HALII….MHHH UBINGWA UTAKUWA MGUMU SIMBA….

0
Kocha msaidizi wa Simba Seleman Matola amesema kwasasa mbio za ubingwa ni ngumu kwao lakini watapambana kumaliza vyema michezo iliyosalia. Akizungumza baada ya mchezo dhidi...
Habari za Simba leo

KUHUSU BENCHIKHA KUPIGWA CHINI SIMBA…UKWELI WOTE HUU HAPA….

0
KLABU ya Simba imeweka wazi kuwa hawana mpango wa kuachana na kocha wao, Abdelhak Benchikha na tayari wameshakutana kwa ajili ya kujadili tathimini ya...
Habari za Simba leo

HARMONIZE AMCHANA MO DEWJI…ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIBAYA…AMTAJA BARBARA

0
Supastaa wa Bongo Fleva, msanii Harmonize anasema tatizo la Klabu ya Simba lilianza baada ya aliyekuwa CEO wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez kujiuzulu wadhifa...
HII SASA NOMA...YANGA YAMPANDISHA SANGOMA NDEGE...JEMEDARI SAID AFUNGUKA A-Z

WANANCHI WAJIPANGA KUPAMBANA NA WANAJESHI…WAINGIA KAMBINI LEO

0
Klabu ya Yanga imeingia kambini leo kwenye mazoezi baada ya kupata mapumziko ya siku moja kufuatia ushindi walioupata juzi Aprili 20, 2024 kwenye Dimba...
KOCHA PRISONS AIVULIA KOFIA LIGI KUU...WACHEZAJI WANATAFUTA SOKO WAUZIKE

KOCHA PRISONS AIVULIA KOFIA LIGI KUU…WACHEZAJI WANATAFUTA SOKO WAUZIKE

0
'Ligi ni ngumu, wachezaji wanatafuta soko'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally akieleza msoto wa mechi tano mfululizo bila ushindi...
YANGA ILIUA LIGI YA MUUNGANO...HIKI NDIO KILICHOTOKEA A-Z HADI KUSIMAMISHWA KWA KOMBE HILO

YANGA ILIUA LIGI YA MUUNGANO…HIKI NDIO KILICHOTOKEA A-Z HADI KUSIMAMISHWA KWA KOMBE HILO

0
Klabu ya Yanga ya Dar Es Salaam imegoma kushiriki mashindano mapya ya Kombe la Muungano, yatakayofanyika Aprili 23 hadi 27 mjini Zanzibar. Rais wa Shirikisho...
Habari za Yanga leo

DABI YA SIMBA NA YANGA CHA MTOTO…HIZI HAPA DABI ZOTE ZA MOTO ZILIZOPIGWA WIKIENDI

0
Achana na kipute cha Yanga na Simba cha Kariakoo dabi kilichopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi iliyopita, dunia ya wapenda soka ilishuhudia dabi...
HII SASA MPYA SOKA LA ITALIA...INTER AMCHAKAZA MHASIMU WAKE AC MILAN...YATWAA UBINGWA

HII SASA MPYA SOKA LA ITALIA…INTER AMCHAKAZA MHASIMU WAKE AC MILAN…YATWAA UBINGWA

0
Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Italia 'Serie A' baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya mahasimu...
Meridianbet

SHOW ZA PESA NDANI YA EXPPANSE CASINO ZIMERUDI KWA NGUVU….

0
Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi la kutengenezea pesa, kupitia promosheni, bonasi za kasino, na michezo mingi ya kasino na sloti...
Habari za Simba na Yanga

KISA AZIZ KI NA CHAMA…AZAM KUZIMWAGIA MAMILIONI YA PESA SIMBA, YANGA….

0
KOCHA wa Azam FC, Youssouph Dabo ametaja wachezaji watano kutoka Yanga na Simba ambao amewapendekeza kwa uongozi wa timu hiyo kuhitaji huduma zao kwa...