JESHI LA SIMBA LINALOPEWA NAFASI KUWAVAA WAARABU KESHO
KESHO Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00

Hili hapa jeshi linapewa nafasi ya kuanza kesho mbele ya Waarabu wa Misri:- Aishi Manula

Shomari Kapombe

Pascal Wawa

Joash Onyango

Mohamed Hussein

Thadeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Bernard Morrison

Chris Mugalu

Luis Miquissone
Post a Comment

0 Comments