KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AL AHLY KWA MKAPA

 


LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

 Mchezo huo wa kundi A unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambacho kinapewa nafasi ya kuweza kuanza mbele ya Al Ahly kusaka pointi tatu muhimu:-

Aishi Manula 

Shomari Kapombe 

Mohamed Hussein 

Pascal Wawa 

Joash Onyango 

Taddeo Lwanga 

Luis Miqussone 

Mzamiru Yassin 

Meddie Kagere 

Rarrry Bwalya

Clatous ChamaPost a Comment

0 Comments