KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA MTIBWA SUGAR


LEO Uwanja wa Mkapa, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar.

Gomes aliweka wazi kwamba atawashushia wapinzani wake kikosi kamili ili kupata pointi tatu muhimu ili kutimiza lengo la kutwaa ubingwa.

Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza leo kwa Mkapa:- Aishi Manula.

Shomari Kapombe.

Pascal Wawa.

Joash Onyango.

Mohamed Hussein, 'Zimbwe'.

Bernard Morrison.

Taddeo Lwanga.

Jonas Mkude.

Luis Miquissone.

Clatous Chama.

Meddie Kagere.Post a Comment

0 Comments