ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOKWEA PIPA LEO KUWAFUATA WAARABU WA MISRI

 


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Aprili 6 kimekwea pipa kuwafuata wapinzani wao Al Ahly kupitia Dubai.


Hawa hapa wachezaji waliosepa kuwafuata Waarabu wa Misri-

Aishi Manula 

Kened Juma

 Ally Salim

Chris Mugalu

Francis Kahata

Luis Miquissone

Shomari Kapombe

Joash Onyango

Meddie Kagere

 Rarry Bwalya

Taddeo Lwanga

Erasto Nyoni

Bernard Morrison

Hassan Dilunga

 Said Ndemla

Pascal Wawa

 Beno Kakolanya

Peter Mudhuwa

David Kameta

Ibrahim Ajibu

Clatous Chama Post a Comment

0 Comments