VIDEO: SIMBA YAMWANGA MKWANJA MREFU CAF

WAKATI kesho Aprili 9 kikitarajiwa kuvaana na wapinzani wao Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi imeelezwa kuwa kikosi hicho kimemwanga mkwanja wa kutosha katika mashindano hayo makubwa barani Afrika yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf). 

 Post a Comment

0 Comments