Home video VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AMTUMIA UJUMBE MORRISON, ATAKA ASIWAVURUGE

VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AMTUMIA UJUMBE MORRISON, ATAKA ASIWAVURUGE

SHABIKI wa Simba amefunguka kuwa nyota wao Bernard Morrison asiwapande kichwani kutokana na kitendo ambacho alichokifanya baada ya kutaka kufanyiwa mabadiliko na mwisho wa siku akaingia Hassan Dilunga.


Simba leo ilikuwa na kibarua mbele ya Polisi Tanzania na baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: AZAM FC YATOA TAMKO KUHUSU BAO WALILOFUNGWA NA SIMBA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here