HUU HAPA UJUMBE AMBAO MASHABIKI WA COASTAL UNION WAMEMUACHIA MGUTO NA MGUNDA


USOME ujumbe ambao mashabiki wa Coastal Union wameuacha kwa viongozi wao ikiwa ni pamoja na Juma Mgunda ambaye ni Kocha Mkuu wa timu hiyo kutoka Tanga.

Timu hiyo imekuwa katika mwendo wa kusuasua msimu wa 2020/21 kwa kupata matokeo ambayo si rafiki kwao na mchezo wao wa mwisho utaamua hatma yao, ujumbe wenyewe huu hapa:-
Post a Comment

0 Comments