KAPOMBE: UBORA WA KIKOSI UNATUBEBA, MCHEZO WA YANGA UTAKUWA TOFAUTI

BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa ubora wa kikosi cha timu hiyo kumeifanya timu hiyo kuweza kufanya vizuri na kufanikiwa kutwaa tai la ligi ambapo jana Julai 18 kiliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo. 

Kuelekea kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga ameweka wazi kuwa itakuwa tofauti na ile iliyopita ambayo ilikuwa ya ligi Julai 3 na Simba ikatunguliwa bao 1-0 dhidi ya Yanga.

 Post a Comment

0 Comments