VIDEO: MUDHATHIR NILIMWAMBIA KIPA MAPEMA ALIKAIDI

KIUNGO wa Azam FC, Mudhathir Yahaya amesema kuwa msimu wa 2020/21 ulikuwa mgumu na kilichowafanya washindwe kupata matokeo mbele ya Simba ni makosa yao na ameweka wazi kwamba alimwambia kipa wao mapema ila akwa mkaidi. Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Azam FC 1-1 Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

 Post a Comment

0 Comments