NABI MAMBO MAGUMU YANGA


IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amepewa mechi mbili ikiwa ataboronga safari itamkuta.

Nabi kibarua chake kimeanza kuwa katika wakati mgumu baada ya kushindwa kufanya vizuri katika mechi mbili za hivi karibuni baada ya Ligi Kuu Bara kumeguka.

Ilikuwa ni ile ya Wiki ya Mwananchi ambapo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-2 Zanaco pamoja na ule wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali ambapo Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United.Post a Comment

0 Comments