Home video VIDEO: WANAIJERIA WA YANGA WAKINUKISHA KWA MKAPA, WAGOMEA VYUMBA

VIDEO: WANAIJERIA WA YANGA WAKINUKISHA KWA MKAPA, WAGOMEA VYUMBA

KABLA ya kuingia Uwanja wa Mkapa kucheza kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali leo Septemba 12 Klabu ya Rivers United ya Nigeria iligoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA