ANTONIO NUGAZ AWATAJA WALIOHUSIKA KUIFANYA YANGA KUWA NAMBA MOJA


ANTONIO Nugaz atoa shukrani kwa mashabiki na awataja ambao alikuwa nao katika kuhusika kuhamasisha mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanjani na mpaka kuweza kutangazwa kuwa ni namba moja kwa msimu wa 2020/21 katika timu iliyoingiza mkwanja mwingi na mashabiki wengi kwa mechi za nyumbani. 

 



Post a Comment

0 Comments