Home video VIDEO:BODI YA LIGI YAFAFANUA KUHUSU MPANGO WA V.A.R BONGO

VIDEO:BODI YA LIGI YAFAFANUA KUHUSU MPANGO WA V.A.R BONGO

IKIWA tayari ratiba ya Ligi Kuu Bara ipo wazi na inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 27 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imeweka wazi kwamba kwa sasa haina mpango wa kuleta V.A.R na badala yake itawekeza kuwawezesha waamuzi kuwa na mawasiliano zaidi ili kuweza kupunguza changamoto za waamuzi wanaposimamia sheria 17 ni Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almas Kasongo ambaye amefafanua mpango kazi ulivyo.  

 

SOMA NA HII  VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here