MAKAMBO:SIMBA NI TIMU KUBWA, HAYA NI MATOKEO

HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wanawaheshimu Simba kwa kuwa ni moja ya timu kubwa na wanaamini kwamba kupoteza kwao ni sehemu ya matokeo. Jana Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

 Post a Comment

0 Comments