MBWIGA AMPIGA MKWARA HAJI MANARA,ASHAURI NAMNA YA KUWA NA MASTAA

MBWIGA anasema kuwa mchezo wa Jumamosi tayari mchezo umekwisha ambapo itakuwa ni Waliooa v Wasiooa yeye ni kapteni wa wale Wasiooa, ameweka wazi kuwa ulimbukeni unatugharimu jambo ambalo linafanya tuchukue wachezaji wengi nje ya nchi huku akishauri kwamba tuwe na viwanja, mashindano mengi ambayo yatatoa mastaa wengi.

 Post a Comment

0 Comments