YANGA WAMEAMUA, CHEKI NDEGE WATAKAYOPANDA KUWAFUATA RIVERS UNITED, NIGERIA

 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kuwafuata wapinzani wao Rivers Nigeria, Ijumaa Septemba 18 kwa ndege ya kukodi ambayo ni Air Tanzania.

Wanakwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mchezo wa marudio baada ya ule wa awali Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-1 Rivers United. 

Ni Air Bus watatumia Wananchi na itawasubiri mpaka watakapomaliza mchezo. Hizi hapa picha ya ndege hiyo:-


Post a Comment

0 Comments