LATEST ARTICLES

Habari za Yanga leo

AZIZ KI AWEKA REKODI HII LIGI KUU…AMPIGA KO HII CHAMA…TAKWIMU ZOTE HIZI HAPA

0
Kuelekea Mchezo wa kesho Jumamosi, Aprili 20, 2024 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba, ni viungo pekee ndio wenye magoli...
Habari za Michezo

KUMBE ISHU YA DUBE IPO HIVI…KULIPA FAINI SH M810 ILI KUONDOKA AZAM…KAMATI YASHANGAZWA!!

0
Hukumu ya shauri la mshambuliaji Mzimbabwe PRINCE DUBE wa Azam FC inatarajiwa kutolewa baada ya kusikilizwa . Dube aliwakishwa na Wakili aliyeiwakilisha Yanga SC kwenye...
RASMI FIFA YATANGAZA...KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137...TIMU HIZI ZATAJWA

RASMI FIFA YATANGAZA…KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137…TIMU HIZI ZATAJWA

0
Rasmi Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa kila klabu itakayoahiriki mashindano ya kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu itapata...
Habari za Simba leo

AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI

0
Klabu ya Singida Black Stars imefungua mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kulia wa Azam Nathaniel Chilambo. Mkataba wake na Azam umebaki miezi mitatu tu. Haitokuwa rahisi...
SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI...MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI…MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

0
Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani...
Habari za Michezo

KUELEKEA DABI LEO….JULIO AFUNGUKA ALIVYOIKOA SIMBA NA AIBU…”NILIMFUKUZA MATOLA”….

0
Unaikumbuka ile #KariakooDerby ya Oktoba 2013 iliyomalizika kwa sare ya 3-3? Aliyekuwa Kocha Msaidizi wakati huo, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amefunguka namna alivyochimba ‘biti’ wakati...
Habari za Simba leo

KAPOMBE:- LEO KAZI NI MBILI TU…

0
Beki wa kulia wa timu ya Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa wamejiandaaa vizuri kwa ajili ya mchezo wao wa dabi dhidi ya watani zao...
Habari za Simba leo

BAADA YA KINA FREDDY NA JOBE ‘KUFELI’ JE CHAMA KUMBEBA BENCHIKHA LEO…?

0
Ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuna mitambo mingi ya mabao lakini kwa sasa namba moja ni Clatous Chama. Ipo...
Habari za Simba leo

KUELEKEA DABI LEO….GAMONDI ATAJA SILAHA ATAKAYOITUMIA KUIMALIZA SIMBA MAPEMA…

0
Kocha wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa falsafa yake anaamini kutumia viungo zaidi kwenye mechi zake kwani ndiyo eneo linaloamua mchezo uchezweje. Gamondi...
Habari za Yanga

KUELEKEA MECHI YA LEO…NABI, ROBERTINHO WATAJA MSHINDI…

0
Jumamosi leo ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel...