Ticker

6/recent/ticker-posts

RASMI....MAN UNITED WAMUACHA CRISTIANO RONALDO...SABABU KUU NI HII HAPA...


Staa wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo hatoongozana na timu yake leo Ijumaa kuelekea Thailand baada ya kuongezewa likizo kutokana na "masuala ya kifamilia".

Manchester United leo Julai 8, 2022 wataanza ziara yao rasmi ya kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa 2022/23.

Ronaldo bado hajahudhuria mazoezi yoyote chini ya Erik ten Hag ambayo yalianza wiki iliyopita.

Mkongwe huyo alitarajiwa kuonekana wiki hii lakini aliomba likizo ya ziada. Bado haijajulikana likizo hiyo itakuwa ndefu kiasi gani.

Reactions

Post a Comment

0 Comments