Ticker

6/recent/ticker-posts

WAKATI YANGA WAKIMUALIKA KINANA....SIMBA WAMUALIKA RAIS WA CAF KWENYE SIMBA DAY...KARIA WA TFF ATOA TAMKO...


Klabu ya Simba imemwalika Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuhudhuria kilele cha Simba Day, Agosti 8, 2022.

Aidha, Rais wa TFF, Wallace Karia amesema mwaliko wa viongozi na makocha wakubwa kwenye matamasha ya mpira nchini Tanzania yanasaidia kutangaza na kukuza soka la Tanzania.

Rais Karia amesema kuwa upo uwezekano mkubwa wa CAF kuzijumuisha Simba Sc na Yanga Sc kwenye mashindano ya Super League

Mashindano hayo yatazinduliwa nchini Tanzania Agosti, 2022 na yataanza Agosti, 2023 huku mshindi kupata kitita cha dola milioni 100.

Reactions

Post a Comment

0 Comments