Ticker

6/recent/ticker-posts

YAMETIMIA....ZORAN MAKI 'ALIWA KICHWA' SIMBA...SABABU HIZI HAPA....MATOLA KAMA KAWA AENDELEA KUPETA....Baada ya ramli nyingi za mashabiki , hatimaye leo Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kuacahana na Kocha wake Mkuu, Zoran Maki Manojlovi.

Maki ambaye ni raia wa Serbia ameitumikia Simba katika michezo ya Ligi miwili ambapo ameshinda mechi zote huku akifungwa mchezo mmoja wa Ngao ya Jamii baada ya kufungwa bao 2-1.

“Klabu imefikia makubaliano kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Zoran Maki, Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid. Mchezo dhidi ya KMC kikosi kitakua chini ya Kocha msaidizi Matola.”

Taarifa kwa UMMA kutoka Simba SCReactions

Post a Comment

0 Comments