Ticker

6/recent/ticker-posts

About US


Katika kuhakikisha dhima ya kukuza soka la bongo katika sekta ya habari, website hii ni mahususi katika kuhakikisha wapenzi wa soka nchini wanakuwa sehemu muhimu ya soka la Tanzania kwa kupata habari mbali mbali za michezo.

Sokalabongo.com imeanzishwa rasmi mwaka 2017 kwa lengo la kuhakikisha inakuwa chachu ya mabadiliko katika mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania.

Post a Comment

0 Comments